😂😂😂😂😂Sishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.
La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Sishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.
La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
Kwel kabsa na walifuturu kwerkwer
Huyo ni kama mama yako heshima tafadhali, pia msisahau kwamba ni mlemavu kwahiyo kuteuliwa kwake hakuna cha ajabuMambo si ndio hayo[emoji173]View attachment 1637541
Ulemavu wake unahusu Nini hapa😆😂Huyo ni kama mama yako heshima tafadhali, pia msisahau kwamba ni mlemavu kwahiyo kuteuliwa kwake hakuna cha ajabu