johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake
Kadhalika Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki
Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lissu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?
Baadaye mlale Unono 😃🔥
Credit: Jambo TV