Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa aingia kwa kishindo Singida kusherehekea Birthday yake. Je, Tundu Lissu atahudhuria?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake

Kadhalika Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki

Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lissu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?

Baadaye mlale Unono 😃🔥

Credit: Jambo TV
 
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake

Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki

Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?

Baadae mlale Unono 😃🔥

Credit: Jambo TV
Jee Kiswaswadu atahudhuria? Maana ndiye aliyemnyang'anya tumbili mke.
Yule mzee ana roho mbaya sana kumdhulumu ngedere my wake.
 
Sema hii kitu ni kali sana aisee. Tukae dakika moja kumwombea Kafulila (Tumbili). Halafu mzee John badili hapo uliposema hawatambuliwi. Kama mke wa Naibu katibu mkuu bara, Benson Kigaila ni miongoni mwa hao Covid19 unasemaje CHADEMA haiwatambui?
 
weka Ka picha tumjue
.
downloadfile-2.jpg
 
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake

Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki

Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?

Baadae mlale Unono 😃🔥

Credit: Jambo TV
Ndio atabudburia siasa siyo uadui bwashee
 
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake

Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki

Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?

Baadae mlale Unono 😃🔥

Credit: Jambo TV
Lissu huwa haudhurii birthday za Malay....aaa wa kisiasa
 
Sema hii kitu ni kali sana aisee. Tukae dakika moja kumwombea Kafulila (Tumbili). Halafu mzee John badili hapo uliposema hawatambuliwi. Kama mke wa Naibu katibu mkuu bara, Benson Kigaila ni miongoni mwa hao Covid19 unasemaje CHADEMA haiwatambui?
Sasa habari za mke wa Kigaila , zinaingiaje!
 
Back
Top Bottom