johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake
Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki
Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?
Baadae mlale Unono ππ₯
Credit: Jambo TV
Yule mzee ana roho mbaya sana kumdhulumu ngedere my wake.Jee Kiswaswadu atahudhuria? Maana ndiye aliyemnyang'anya tumbili mke.
.weka Ka picha tumjue
Ndio atabudburia siasa siyo uadui bwasheeMbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake
Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki
Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?
Baadae mlale Unono ππ₯
Credit: Jambo TV
Ndiyo maana haishi kupata kiwi nyeusi kichwani ili awachukulie vijana mademu wao.Yule mzee ana roho mbaya sana kumdhulumu ngedere my wake.
Lissu huwa haudhurii birthday za Malay....aaa wa kisiasaMbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake
Kadhalika Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki
Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu Lisu atahudhuria Birthday ya shemeji yake mke wa zamani wa Kafulila aka Tumbiri?
Baadae mlale Unono ππ₯
Credit: Jambo TV
Jo ana ujinga mwingi sanaMbona hujaeleza kama Lissu kaalikwa?.au unataka ajipeleke kwa sababu ni Lissu?.
Ni mstaafu fulani hiviWamiliki wa huu mtandao wanatakiwa kujitathmini. Imagine mtoa mada usikute na yeye ni baba wa familia eti!!
Kiswaswadu ndio nani huyo?Jee Kiswaswadu atahudhuria? Maana ndiye aliyemnyang'anya tumbili mke.
KatelefoniKiswaswadu ndio nani huyo?
Sasa habari za mke wa Kigaila , zinaingiaje!Sema hii kitu ni kali sana aisee. Tukae dakika moja kumwombea Kafulila (Tumbili). Halafu mzee John badili hapo uliposema hawatambuliwi. Kama mke wa Naibu katibu mkuu bara, Benson Kigaila ni miongoni mwa hao Covid19 unasemaje CHADEMA haiwatambui?