Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

Uchawa umeliteka taifa si kwenye mziki tu mpaka kwenye siasa.
 
Hivi kweli watu wa Kondoa shida yao ni futari tu?
na wenyewe wameridhiiika!
Ajabu hii!
Wabunge walishajua Wapiga kura wao NJAA ZINAWATESA SANA ndio maana hata NAPE alipopiga Pesa ya Helkopta akaenda kuwapa Futari
 
Acha gubu, huu ni utamaduni wa Watanzania na watu wengi duniani kipindi hiki cha Mfungo, tena ni dua maalum ya kuombea Taifa, shida iko wapi? sio kila kitu lazima tukosoe
nasema hivi, hao wavaa makobasi wa kondoa watachelewa sana! waendelee kufuturishwa tu!
 
Hivi huyu dada ndio mtoto wa yule jamaa aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Ditopile Utayaona Mzuzuri??.
 
Back
Top Bottom