M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 May 1, 2022 #21 Jorojik said: Hapa nimetoka kapa chifu .....hebu fafanua kidogo. Click to expand... Msagaji
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,092 Reaction score 4,896 May 1, 2022 #22 Automata said: Yule yule aliye mpyuu mpyuu dereva daladala Click to expand... Akafia gest house Moro
Azim Sokoine JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 1,443 Reaction score 2,643 May 1, 2022 #23 Uchawa umeliteka taifa si kwenye mziki tu mpaka kwenye siasa.
Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 3,085 Reaction score 4,890 May 1, 2022 #24 Abunuas said: Hivi kweli watu wa Kondoa shida yao ni futari tu? na wenyewe wameridhiiika! Ajabu hii! Click to expand... Wabunge walishajua Wapiga kura wao NJAA ZINAWATESA SANA ndio maana hata NAPE alipopiga Pesa ya Helkopta akaenda kuwapa Futari
Abunuas said: Hivi kweli watu wa Kondoa shida yao ni futari tu? na wenyewe wameridhiiika! Ajabu hii! Click to expand... Wabunge walishajua Wapiga kura wao NJAA ZINAWATESA SANA ndio maana hata NAPE alipopiga Pesa ya Helkopta akaenda kuwapa Futari
hamumwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 754 Reaction score 664 May 1, 2022 #25 Abunuas said: Hivi kweli watu wa Kondoa shida yao ni futari tu? na wenyewe wameridhiiika! Ajabu hii! Click to expand... Ni swala la kushukuru maana sio wote wana moyo huo hongera kwako MARIAM
Abunuas said: Hivi kweli watu wa Kondoa shida yao ni futari tu? na wenyewe wameridhiiika! Ajabu hii! Click to expand... Ni swala la kushukuru maana sio wote wana moyo huo hongera kwako MARIAM
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 May 13, 2022 #26 hamumwa said: Ni swala la kushukuru maana sio wote wana moyo huo hongera kwako MARIAM Click to expand... kushukuru kwa futari? kwani walikuwa hawafuturu hapo kabla na baada? kuweni serious bac.
hamumwa said: Ni swala la kushukuru maana sio wote wana moyo huo hongera kwako MARIAM Click to expand... kushukuru kwa futari? kwani walikuwa hawafuturu hapo kabla na baada? kuweni serious bac.
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 May 13, 2022 #27 Lord OSAGYEFO said: Wabunge walishajua Wapiga kura wao NJAA ZINAWATESA SANA ndio maana hata NAPE alipopiga Pesa ya Helkopta akaenda kuwapa Futari Click to expand... hao wavaa makobasi watachelewa sana na hizo futari zao!
Lord OSAGYEFO said: Wabunge walishajua Wapiga kura wao NJAA ZINAWATESA SANA ndio maana hata NAPE alipopiga Pesa ya Helkopta akaenda kuwapa Futari Click to expand... hao wavaa makobasi watachelewa sana na hizo futari zao!
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 May 13, 2022 #28 Robert S Gulenga said: Acha gubu, huu ni utamaduni wa Watanzania na watu wengi duniani kipindi hiki cha Mfungo, tena ni dua maalum ya kuombea Taifa, shida iko wapi? sio kila kitu lazima tukosoe Click to expand... nasema hivi, hao wavaa makobasi wa kondoa watachelewa sana! waendelee kufuturishwa tu!
Robert S Gulenga said: Acha gubu, huu ni utamaduni wa Watanzania na watu wengi duniani kipindi hiki cha Mfungo, tena ni dua maalum ya kuombea Taifa, shida iko wapi? sio kila kitu lazima tukosoe Click to expand... nasema hivi, hao wavaa makobasi wa kondoa watachelewa sana! waendelee kufuturishwa tu!
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 May 13, 2022 #29 Hivi huyu dada ndio mtoto wa yule jamaa aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Ditopile Utayaona Mzuzuri??.
Hivi huyu dada ndio mtoto wa yule jamaa aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Ditopile Utayaona Mzuzuri??.