TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.

Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu, Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha Kaka yake.

“Nimepewa taarifa na Shemeji (Mke wa Wakili Mkono) kwamba Mzee amefariki nimempigia Shemeji alikuwa analia tu ameshindwa kuongea vizuri, Mzee aliondoka Tanzania tangu mwaka 2018 akaelekea Marekani kwa matibabu kwasababu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kusahausahau, kumbukumbu zilikuwa zinapotea”

“Mimi nipo Tanzania kwa sasa ninachoweza kuthibitisha ni kwamba kweli amefariki taarifa zaidi za kama alikuwa anaugua ugonjwa mwingine na kama alikuwa Hospitali au amefariki ghafla hizo bado sijajua, nitawapa taarifa zaidi baadaye”

Mkono.jpg
 
Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nimrod Mkono amefia Nchini Marekani, Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono ameiambia AyoTV kwamba amefariki asubuhi ya Marekani “aliondoka Tanzania tangu 2018 kwenda kutibiwa”
Haujasema alikua anaumwa nini tangu 2018 au vidonda vya tumbo Sugu ?

R.I.P Nimrod Mkono
Mbele yako nyuma yetu
Inlahilah wainlahilah rajun
Bwana ametoa Bwana ametwa
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Ulale kwa amani
 
Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.

Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu, Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha Kaka yake.

“Nimepewa taarifa na Shemeji (Mke wa Wakili Mkono) kwamba Mzee amefariki nimempigia Shemeji alikuwa analia tu ameshindwa kuongea vizuri, Mzee aliondoka Tanzania tangu mwaka 2018 akaelekea Marekani kwa matibabu kwasababu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kusahausahau, kumbukumbu zilikuwa zinapotea”

“Mimi nipo Tanzania kwa sasa ninachoweza kuthibitisha ni kwamba kweli amefariki taarifa zaidi za kama alikuwa anaugua ugonjwa mwingine na kama alikuwa Hospitali au amefariki ghafla hizo bado sijajua, nitawapa taarifa zaidi baadaye”
R.I.P mzee mkono.

Tatizo la kusahau sahau.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nimrod Mkono amefia Nchini Marekani, Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono ameiambia AyoTV kwamba amefariki asubuhi ya Marekani “aliondoka Tanzania tangu 2018 kwenda kutibiwa”
Sawa tutamkumbuka sana wakili huyu wa serikali kipindi cha nyuma na cases alizozisimamia nchini kwa niaba ya serikali.
 
Back
Top Bottom