Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Msiba mkubwa kwa GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ndio huo.kuna mtu alijiapiza kuhakikisha anaua upinzani na kuhakikisha anashinda level zote za utawala kwa gharama yoyote.Hizo mali mnazoiba mtazikwa nazo?
By hangaya
Mara nyingi ugonjwa huwa ni Siri ya Wanafamilia, hadi waamue wao kuuweka wazi.Haujasema alikua anaumwa nini tangu 2018 au vidonda vya tumbo Sugu ?
R.I.P Nimrod Mkono
Mbele yako nyuma yetu
Inlahilah wainlahilah rajun
Bwana ametoa Bwana ametwa
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Ulale kwa amani
Alikua anaumwa ugonjwa wakusahausahau, nakupoteza kumbukumbuHaujasema alikua anaumwa nini tangu 2018 au vidonda vya tumbo Sugu ?
R.I.P Nimrod Mkono
Mbele yako nyuma yetu
Inlahilah wainlahilah rajun
Bwana ametoa Bwana ametwa
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Ulale kwa amani
Sawasawa...
R.I.PAliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.
Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu, Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha Kaka yake.
“Nimepewa taarifa na Shemeji (Mke wa Wakili Mkono) kwamba Mzee amefariki nimempigia Shemeji alikuwa analia tu ameshindwa kuongea vizuri, Mzee aliondoka Tanzania tangu mwaka 2018 akaelekea Marekani kwa matibabu kwasababu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kusahausahau, kumbukumbu zilikuwa zinapotea”
“Mimi nipo Tanzania kwa sasa ninachoweza kuthibitisha ni kwamba kweli amefariki taarifa zaidi za kama alikuwa anaugua ugonjwa mwingine na kama alikuwa Hospitali au amefariki ghafla hizo bado sijajua, nitawapa taarifa zaidi baadaye”
Pole sana Navy KenzoAliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.
Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu, Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha Kaka yake.
“Nimepewa taarifa na Shemeji (Mke wa Wakili Mkono) kwamba Mzee amefariki nimempigia Shemeji alikuwa analia tu ameshindwa kuongea vizuri, Mzee aliondoka Tanzania tangu mwaka 2018 akaelekea Marekani kwa matibabu kwasababu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kusahausahau, kumbukumbu zilikuwa zinapotea”
“Mimi nipo Tanzania kwa sasa ninachoweza kuthibitisha ni kwamba kweli amefariki taarifa zaidi za kama alikuwa anaugua ugonjwa mwingine na kama alikuwa Hospitali au amefariki ghafla hizo bado sijajua, nitawapa taarifa zaidi baadaye”
Aisee, wana uhusiano?Msiba mkubwa kwa GENTAMYCINE
Watakula akina Nahreel KenzoHizo mali mnazoiba mtazikwa nazo?
By hangaya
Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency from 2000 to 2015. He is also a practicing advocate in Mkono and advocates and former owner of Bank M ambapo aliuza hisa zake kwa matajrir wengine.Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.
Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu, Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha Kaka yake.
“Nimepewa taarifa na Shemeji (Mke wa Wakili Mkono) kwamba Mzee amefariki nimempigia Shemeji alikuwa analia tu ameshindwa kuongea vizuri, Mzee aliondoka Tanzania tangu mwaka 2018 akaelekea Marekani kwa matibabu kwasababu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kusahausahau, kumbukumbu zilikuwa zinapotea”
“Mimi nipo Tanzania kwa sasa ninachoweza kuthibitisha ni kwamba kweli amefariki taarifa zaidi za kama alikuwa anaugua ugonjwa mwingine na kama alikuwa Hospitali au amefariki ghafla hizo bado sijajua, nitawapa taarifa zaidi baadaye”
Nadhani baba Ake mkubwa km sijakoseaHuyu si ndo babake na Nahreal yule mwanamziki aliyejenga bonge la pangaloo mikocheni