TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Mola pumzisha roho yake kwa amani.

Ila jamaa alikuwa nazo sana, nasikia kutoka BoT ya Kikwete. Angalia kuwa tangu 2018 amekuwa anatibiwa Marekani yaani miaka 6; ni gharama kubwa sana.
Ugonjwa wa kusahahu ni most likely alikuwa na dementia au Alzheimer kamili.
 
Duh, kafia marekani?
kama mwana familia alivyosema, Marehemu Mzee amekuwepo huko Marekani toka 2018

miaka mitatu Butiama haikuwa na Mbunge

na hakuna lililoharibika

ukiona staff wamepungua na ofisi inaendelea kama jana kama kawaida basi wafanyakazi ni redundant, hawana kazi. Wabunge wa Tanzania hawana kazi kivile.

Wananchi wa California, wabunge na wanachama wa chama cha Democrat wanamtaka Mbunge wa chama chao ajiuzuu kwa sababu anaumwa mkanda wa jeshi. Mama Dianne Feinstein hajaonekana Washington DC yapata miezi miwili. Wanasema kuna kazi za serikali ya chama chao na za wananchi zinalala kwa sababu mwenzao hayuko kwenye kamati nyeti za bunge kusaidia kusukuma agenda. Mivutano ya hoja ni mikali, ikikosekana sauti au kura moja tu jambo linakwamia kwenye kamati, halifiki bungeni.

Imagine the difference.
 
Haujasema alikua anaumwa nini tangu 2018 au vidonda vya tumbo Sugu ?

R.I.P Nimrod Mkono
Mbele yako nyuma yetu
Inlahilah wainlahilah rajun
Bwana ametoa Bwana ametwa
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Ulale kwa amani
wewe mwamba si uliomba ban , mbona mods hawajakupa
 
Back
Top Bottom