Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lala salama mkono
Namba ipi chiefMkuu nitumie hata jero
kama mwana familia alivyosema, Marehemu Mzee amekuwepo huko Marekani toka 2018Duh, kafia marekani?
wewe mwamba si uliomba ban , mbona mods hawajakupaHaujasema alikua anaumwa nini tangu 2018 au vidonda vya tumbo Sugu ?
R.I.P Nimrod Mkono
Mbele yako nyuma yetu
Inlahilah wainlahilah rajun
Bwana ametoa Bwana ametwa
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Ulale kwa amani
Upo kweli kwenye hii dunia?? Alishafariki dunia miaka ya 2020 au 2021 kama sijakosea
Aliishafariki kipindi kile cha Covid 19
Apumzike mahali anapostahili...
Inategemea unaamini nini...Hivi haya maneno huwa yana maana gani? Maana hayabadilishi chochote wala kufariji
Inategemea unaamini nini...
Wakati aliwahi kuokoa maisha ya Mbowe na Zitto (akiwa chadema), walipo taka kupigwa huko Musoma walipo enda kumzika Chacha Wangwe.Bavicha wataanza kumtukana