Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amtembelea Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ofisini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.

Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.
 
Hiyo picha ya Mnyika hapo Ukutani mbona kubwa sana halafu iko kwenye pembe tatu ??

Ina maana yeye ndio kiongozi wa Nchi??

Chadema hamfuati sheria za nchi kabisa,

Kwanini mnakua wakorofi namna hii lakini??
Picha ya mwenyekiti mtarajiwa wa CCM kwenye ofisi ya Chadema ikatafute nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…