Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Kwi Kwi Kwi , Mmeshikwa pabaya safari hiikumpa ofisi kubwa secondary school failute kama mbowe na mnyika matokeo ndio hayo wanakuwa na confidence hewa yenye ujinga kibao tofauti na wangewekwa maprofesa kama Baregu wanajua ofisi iweje.
Jumbe inawezekana zilikuwa za Hayati mwenyeweinasemekana kuna ID zimeondoka na mkubwa , unamkumbuka Mgambilwa ni mntu ?
πππ Chama kipo imara, wakati mmezidiwa akili na kina Aida. Ninyi na wale wenzenu ACT akili zenu zinafanana, ila maarifa ACT wamewazidi mbali wao wanajenga chama chao ninyi na viongozi wenu ni kubwabwaja tu mitandaoni. Shame on you saccos.Chama chetu cha CHADEMA bado kipo imara pamoja na njama zote za kisiasa na zisizo cha kisiasa toka mtaa wa Lu-mamba oops! mtaa wa Lumumba wanapolia macho ya mamba hawaelewi kwanini 2020 hatukufa kama walivyotarajia.
una akili ndogo sana !πππ Chama kipo imara, wakati mmezidiwa akili na kina Aida. Ninyi na wale wenzenu ACT akili zenu zinafanana, ila maarifa ACT wamewazidi mbali wao wanajenga chama chao ninyi na viongozi wenu ni kubwabwaja tu mitandaoni. Shame on you saccos.
Shuhudia muujiza mkuu wa Mungu, huyo aliyekuwa akikiombea kufa chama hicho kabla ya 2020.Kuna vichaa au wendawazimu fulani toka Chama Twawala wakiongozwa na Mwendazake waliwahi kutamba kuwa CHADEMA HAKITAFIKA 2020 maana kitakuwa kimekufa kabisa!!! Kiko wapi leo? CHADEMA IMEDHIHIRISHA NI CHAMA BORA, MAKINI NA IMARA WAKTI WOTE....!!!
Kwani hujui kuwa maombi ya Askofu Mwamakula na dua ya Sheikh Ponda ndivyo vilivyoung'oa MBUYU wenu uliokuwa unawapa kiburi???Hahahaaaa...... Siasa ni sayansi bwashee ndio maana Chadema imesimama na shehe Ponda na yule Mwamakula!
Jambo jema
Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwekezaji na Mfanyabiashara Mkubwa jijini Mbeya, ambaye pia hufahamika kama Rais wa eneo hilo, amefika ofisini kwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo mazito kwa ajili ya Mustakhabari wa Taifa.
Kikao hicho kizito kimefanyika huku kukiwa na Taarifa ya Chadema kukutana na Rais Mh Samia Suluhu hivi karibuni.