johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai atajiwekea rekodi ya kipekee duniani!Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mnavyo yapeleka mnajua wenyewe tuNdugai atajiwekea rekodi ya kipekee duniani!
Hatujalaaniwa, ila hatujajua tunachokitafuta.
Haya yanayotendeka bora mtu urudi kwenye ule usemi maarufu aliotuachia JAKAYA; "akili za kuambiwa, changanya na za kwako"Mbunge wa zamani wa ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na mh Spika Ndugai naye ameitikia wito.
Mwambe amesema ataukaribisha kwa moyo mweupe ushauri au uamuzi utakaotolewa na Spika wa bunge.
Source: Mwananchi
Mgombea wa spika kupitia maagizo toka Chattle kwa mzee wa nyunguKwa chama cha mapinduzi au kwa chadema? Au mgombea binafsi
Nimenukuu gazeti bwashee!
Kweli kabisaHaya yanayotendeka bora mtu urudi kwenye ule usemi maarufu aliotuachia JAKAYA; "akili za kuambiwa, changanya na za kwako"
Cecil Mwambe umetoka mwenyewe CDM kwa hiari yako na kuhamia CCM, (picha zipo na voice clips). Hiyo posho ya Bunge unayoanza kuipokea leo ujue tayari ni mapatu haramu na ni uhujumu uchumi.
Tutakufuatilia namna utakavyoitumia, na utambue kuwa baada ya Magufuli kutoka madarakani utashtakiwa kwa makosa ya Anti Money Laundering.. Sisi ni wazalendo usijesema hatukukutonya. Ndugai atakuwa hayupo mida hiyo
Jamaa ameivuruga sana CCM, atakayekuja kumpokea kijiti cha uwenyekiti atakuwa na wakati mgumu mno kukijenga upya chama hiki.Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi, na atakaa upande ule wa KUB Rwakatare eti anaemtambua.
Taifa hili sijui tumelaaniwa au ni kitu gani.
But kuwa na CCM itself, naamini ni dhambi tosha inayostahili ubatizo wa maji mengi kuiondoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka akae karibu na Esther Bulaya ili apigwe na Mdee!Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi, na atakaa upande ule wa KUB Rwakatare eti anaemtambua.
Taifa hili sijui tumelaaniwa au ni kitu gani.
But kuwa na CCM itself, naamini ni dhambi tosha inayostahili ubatizo wa maji mengi kuiondoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo ya jana, unatakiwa uwe more advanced.Nimenukuu gazeti bwashee!
Kamanda unaelewa maana ya kunukuu?!