Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR​

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kati, Zanzibar.

"UWT Wilaya ya Kati tunakupongeza Mhe. Wanu Hafidh Ameir kwa utekelezaji wa kazi uliotukuka kwa kututumikia Wanawake wa Wilaya ya Kati kwa bidii, heshima na unyenyekevu mkubwa. Mwenyezi Mungu awe Msimamizi wa mafanikio yako" - Ujumbe wa Kwenye Tuzo (UWT Wilaya ya Kati)

Kwa upande wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir amewashukuru wana UWT Wilaya ya Kati kwa ushirikiano mkubwa waliompa kwa kipindi cha miaka mitano ya Ubunge, pia amewashukuru kwa kutambua mchango wake kwao na kuahidi kuendelea kushirikiana nao.

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    715.2 KB · Views: 37
  • WhatsApp Image 2025-06-06 at 12.53.08.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-06 at 12.53.08.jpeg
    71.3 KB · Views: 33
Huyu si mtoto wa raisi.sasa bado kutoa tuzo mpaka za mifugo inayoishi kwa bi mkubwa kizimkazi.
Msisahau na tuzo ya mchengerwa kuwa mkwe bora mwenye kifua kama pipa la acidic
 
MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR​

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kati, Zanzibar.

"UWT Wilaya ya Kati tunakupongeza Mhe. Wanu Hafidh Ameir kwa utekelezaji wa kazi uliotukuka kwa kututumikia Wanawake wa Wilaya ya Kati kwa bidii, heshima na unyenyekevu mkubwa. Mwenyezi Mungu awe Msimamizi wa mafanikio yako" - Ujumbe wa Kwenye Tuzo (UWT Wilaya ya Kati)

Kwa upande wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir amewashukuru wana UWT Wilaya ya Kati kwa ushirikiano mkubwa waliompa kwa kipindi cha miaka mitano ya Ubunge, pia amewashukuru kwa kutambua mchango wake kwao na kuahidi kuendelea kushirikiana nao.

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele
Tuzo kwa kazi gani? Mwambieni mume wake na mama wanaua watanganyika wasio na makosa, tusaidieni kumwambia hao wawili wasiposikia kuna siku itafika watafungwa pingu maisha yao yote yaliyobakia.
 
Back
Top Bottom