Bunduki haiui watu,watu ndo wanaua watu .....Prof J
Guns don't kill people, people kill people... DMX
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunduki haiui watu,watu ndo wanaua watu .....Prof J
Bunduki haiui watu,watu ndo wanaua watu .....Prof J
Wangapi wamegoogle na wakaweza kutushirikisha kama ushiboy ??
hivi hii Ak 47 inatofautiana vipi na SMG?
Pamoja na maelezo yote hayo bado hujui kwa nini AK 47 ni chaguo la magaidi? Pole sana.
nchi zilizoendelea hawatumii sana bunduki yako uliyo sifia hapa
halafu mi naona ak47 inapendwa sababu ya bei yake, maana hata waasi wanazo nyingi inaonyesha ni bei nafuu. ak47 ingekuwa ni gari ingekuwa toyota VTs halafu hizo za magharibi zingekuwa range.
Vip kuhusu dragnov.
Hata ku-google tu unapewa ahsante?
Wewe mwenye jipya na hodari Wa kuingia mitandaoni umeleta added value gani kwa jamii?
Umenena vema mkuu...mie nimeshtushwa na comment tata kama hiyo wakati Ushiboy kajitahidi sana kutiririka ki smart. ..Tupo hapa kujifunza mkuu.
Na kama wewe unapata access ya mtandao usidhani kwamba wote tupo Kama wewe.
By the way, jf hatutafuti sifa kijana.....
mkuu hakuna binadam mwenye nafasi mbinguniHongera yake. Ila hawa wagunduzi wa silaha wana nafasi mbinguni??
Minadhani kwenye mambo ya imani, kila mmoja anapaswa ahangaikie anachi kiamini.mkuu hakuna binadam mwenye nafasi mbinguni
No SMG kitako Cha chuma.. AK kitako Cha mbaoTofauti ni vitako vya bunduki SMG ina kitako cha mti wakati AK 47 ina kitako cha chuma cha kukunja hivyo kurahisisha ubebaji wake.