Uchaguzi 2020 Mburahati, Dar: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Hiyo kampeni imepata "laana" ya mvua inayonyesha mfululizo siku ya Leo......

Kama alivyowaambia wahanga wa tetemeko kule Bukoba, kuwa serikali yake haijaleta tetemeko........

Awe mpole tu kwa kuwa mvua hii inayoendelea hadi hivi sasa, kwa kuwa nayo haijaletwa na CHADEMA!
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Ee, Mungu Baba, tunakuomba Mh. JPM kipenzi cha watanzania wachapa kazi ashinde kwa kishindo, 98.3% zinatosha tu Baba. Leo binadamu wenzetu wa Uingereza wametangaziwa "karantini" nyingine mpya maana ugonjwa wa corona umeongeza speed hadi 200 km/h kwenye kona, na hapa Tanzania kuna mgombea ambaye kila kitu anacopy na kupaste kutoka kwao, Mungu baba ukimpitisha ndio hivyo basi tunafungiwa ndani kwa matakwa ya mabwana zake akina Amstredam. Ameen!
Shida tayari ameshapita daah tutakuwa kwenye lock up ya Corona mitano kweli? Mungu akiamua ndiyo basi tena
 
CCM kwa maflyover mlizojenga Dar hamkutakiwa kabisa kupiga kampeni mngekaa tu kusubiri kura
Bahati mbaya siyo pesa binafsi za CCM ni pesa za walipa kodi ndizo zimejenga ndiyo maana watu hawataki kusikia kuwa CCM ndiyo wamejenga
 
Ee, Mungu Baba, tunakuomba Mh. JPM kipenzi cha watanzania wachapa kazi ashinde kwa kishindo, 98.3% zinatosha tu Baba. Leo binadamu wenzetu wa Uingereza wametangaziwa "karantini" nyingine mpya maana ugonjwa wa corona umeongeza speed hadi 200 km/h kwenye kona, na hapa Tanzania kuna mgombea ambaye kila kitu anacopy na kupaste kutoka kwao, Mungu baba ukimpitisha ndio hivyo basi tunafungiwa ndani kwa matakwa ya mabwana zake akina Amstredam. Ameen!
Hakuna mungu ataipokea sala ya kibwege kama hii hata shetani unayeshinda nae ukivuta Bangi hapo gheto ataikataa hiyo sala ya kishamba na haramu
 
Licha ya mvua kubwa, watu tupo hapa viwanja vya barafu (Kigogo Mburahati).
#JPM5TENA
 
Hiyo kampeni imepata "laana" ya mvua inayonyesha mfululizo siku ya Leo......

Kama alivyowaambia wahanga wa tetemeko kule Bukoba, kuwa serikali yake haijaleta tetemeko........

Awe mpole tu kwa kuwa mvua hii inayoendelea hadi hivi sasa, kwa kuwa nayo haijaletwa na CHADEMA!
Mkuu diamond atapanda saa ngapi leo ataperform wimbo wa jeje niibuke?
 
Back
Top Bottom