Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mvua ni baraka haijawahi kuwa laana ndo maana karne kwa karne kuna maombi maalumu ya kuita mvua.
Hiyo kampeni imepata "laana" ya mvua inayonyesha mfululizo siku ya Leo......
Kama alivyowaambia wahanga wa tetemeko kule Bukoba, kuwa serikali yake haijaleta tetemeko........
Awe mpole tu kwa kuwa mvua hii inayoendelea hadi hivi sasa, kwa kuwa nayo haijaletwa na CHADEMA!