Uchaguzi 2020 Mburahati, Dar: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Shida tayari ameshapita daah tutakuwa kwenye lock up ya Corona mitano kweli? Mungu akiamua ndiyo basi tena
 
CCM kwa maflyover mlizojenga Dar hamkutakiwa kabisa kupiga kampeni mngekaa tu kusubiri kura
Bahati mbaya siyo pesa binafsi za CCM ni pesa za walipa kodi ndizo zimejenga ndiyo maana watu hawataki kusikia kuwa CCM ndiyo wamejenga
 
Hakuna mungu ataipokea sala ya kibwege kama hii hata shetani unayeshinda nae ukivuta Bangi hapo gheto ataikataa hiyo sala ya kishamba na haramu
 
Licha ya mvua kubwa, watu tupo hapa viwanja vya barafu (Kigogo Mburahati).
#JPM5TENA
 
Mkuu diamond atapanda saa ngapi leo ataperform wimbo wa jeje niibuke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…