Uchaguzi 2020 Mburahati, Dar: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Polepole kichwa kinamuuma maana kapewa pesa nyingi sana za kuihujumu kuidhoofisha chadema lakini mungu anawalinda hujuma zinadunda na yeye pesa anaipenda

HIVI KATI YA WABUNGE WALIONUNULIWA NA MAGUFULI HAKUNA HATA MMOJA AMBAYE ANAMSAIDIA HATA KUMSEMEA ....
 
si wana ubia na waganga wajadi nchini sana wale walimtishia Membe asichukue fomu yakuchuana na Magu wazee wa Bariadi na Gamboshi ...kama vipi basi wawabipu ili wakate mvua.
Watu wapo wakutosha. Jamaa anapendwa sana aisee.
 
Watu wapo wakutosha. Jamaa anapendwa sana aisee.
Hap waliobaki ni wale wahamasishaji ambao huzunguka kila mkutano , hawawezi kuondoka
hao hata mkutano wa juzi na jana walikuwako ...they are paid 10,000 per meeting ...........HII MVUA YA LEO GWAJIMA KASHINDWAJE KUIKEMEA.....
MAANA HATA HAPAKUWA NA DALILI
 
MIAKA MITANO YA KWANZA SIKUWEZA KUJENGA AJIRA KWAKUA NILIKUWA NAJENGA MIUNDOMBINU NA HUDUMA NYINGINE IKIWEMO UMEME , MIAKA MITANO IJAYO NITALETA AJIRA NIPENI KURA - JPM
 
Watanzania makini tunampiga kura Rais Mzalendo JPM.
 
Watu wapo wakutosha. Jamaa anapendwa sana aisee.
Hao majobless mnaowakusanya kutoka maeneo yote ya Dar mkiwapa T-shirt na posho ??? Unadhani hatujui kuwa baada ya iyo mikutano wanakutana kwenye majengo ya CCM na kupewa posho??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…