Kila akifanya kampeni kwenye majimbo ya upinzani anadai wamemchelewesha kupeleka maendeleo.
Swali: Majimbo mengi yaliongozwa na CCM kuanzia udiwani hadi rais na yana umaskini wa kutupwa mfa Kongwa, Rorya, Chemba, Newala, Chato [ukiondoa ule uwanja wa kimataifa watu ni maskini wa kutupwa).
Haya, nani alimchelewesha?