Mbuta Nanga ni balaa

Nenda kwenye blog yake ujionee

Mamangu #charty since lemaZ drama sijawah hata kutaka kujua ni mwanamke Wa aina gani ila now u tell men she is 40s dah ajabu sana anakua ummbo tu akili inadumaaa
Nimeona li picha lake kavaaa mchupi mwekundu dah aisee
 
Mie nkiwaga na stresss huaga naingiaga kwenye blog yake nicheke maa ni hatar kuna siku alitengeneza mchupi wa #BringsbackOurGalz ...ungejionea mwenyewe ungetahamakii....anakwambia #ruwamangii
 
yani anatia aibu kwakweli uyo dada.yeye anaisi kuishi uingereza ndio kamaliza?anadhalilisha utanzania sana uyo dada.aache ujinga wake mtu mzima hovyo kabisa,nilimshangaa sana kwenye sh diamond uingereza alivyo kuwa kwenye stage anajidhalilisha yani mpaka diamond akawa anamshangaa.shame on her
 
Hebu wekeni hapa jina la blog yake tumtathmini ili hata kumsaidia tujue pa kuanzia.
 
sio mbaya kivile sema anajichoresha tu. mbona hapa kapendeza.
 
Mwanzoni nilikuwa namshangaa,ila badae nikajisemea kama yeye yupo na amani na anayoyafanya na hamuumizi mtu yeyote,acha apige tu hizo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…