Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamangu #charty since lemaZ drama sijawah hata kutaka kujua ni mwanamke Wa aina gani ila now u tell men she is 40s dah ajabu sana anakua ummbo tu akili inadumaaa
Nimeona li picha lake kavaaa mchupi mwekundu dah aisee
Mie nkiwaga na stresss huaga naingiaga kwenye blog yake nicheke maa ni hatar kuna siku alitengeneza mchupi wa #BringsbackOurGalz ...ungejionea mwenyewe ungetahamakii....anakwambia #ruwamangii
Sura hana, shepu hana imeambukiza na tabia kakosa nadhani huyu mdada ni zaidi ya Mburula