Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
hahahaaa!ngoja ageuke nyuma sasa na ile style yake km anachuchumaa si utasema chura kajiandaa kuruka!!!
Teh teh mbuta nanga ana vituko sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa!ngoja ageuke nyuma sasa na ile style yake km anachuchumaa si utasema chura kajiandaa kuruka!!!
Mh majanga bin majanga vitu vingine hapana aanze kuvua zote kabisa
Mh majanga bin majanga vitu vingine hapana aanze kuvua zote kabisa
Duh...pole za kutosha ziwaendee nduguzeHuyu dada anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia na pengine marafiki zake ambao wamekuwa wakimshabikia huo ujinga wake wameendelea kukuza tatizo lake.
Yeye sio wa kwanza kufanya biashara,wangapi wameuza bila kuonyesha vichupi na kujidhalilisha? Kama maisha ughaibuni yamekuwa magumu akubali ukweli,arudi nyumbani.Tz ya leo sio ya 1990,fursa kibao
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Duh
Ni tatizo kubwa sasa kumbe
Leo kaweka anaonyesha "nyonyoz" nje
Huezii amini ana 40yrs!!bwahahaa...anakwambia "how to look sexy at om"
40 years
No way
ana sura kama kapoteza nauli!
Ingawa huwa sipendi kum-describe mtu how ugly she look but she is and nasty too
haya twende tukamalizie match yetu.....
40 years
No way
Nakumbuka alifanyiwa interview na Mboni Masimba na alijibu vizuri sana yani kama humjui usingeweza kudhani kama anajitoaga ufahamu kiasi hiki. Yaani me nachekaga tu jamani anavyomchambaga Le Mutuz, Kumbe mzima ila anajifanya sakala,mi simpendi yule mdada alivyo mweusi kama mimi
na mlipstiki wake mwekundu!!!ptuu
Teh teh mbuta nanga ana vituko sana
we search flora lyimo utaiona