Mbuta Nanga ni balaa

Mbuta Nanga ni balaa

Huyu dada anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia na pengine marafiki zake ambao wamekuwa wakimshabikia huo ujinga wake wameendelea kukuza tatizo lake.

Yeye sio wa kwanza kufanya biashara,wangapi wameuza bila kuonyesha vichupi na kujidhalilisha? Kama maisha ughaibuni yamekuwa magumu akubali ukweli,arudi nyumbani.Tz ya leo sio ya 1990,fursa kibao


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Duh...pole za kutosha ziwaendee nduguze
 
Nakumbuka alifanyiwa interview na Mboni Masimba na alijibu vizuri sana yani kama humjui usingeweza kudhani kama anajitoaga ufahamu kiasi hiki. Yaani me nachekaga tu jamani anavyomchambaga Le Mutuz, sijui wana ugomvi gani jamani coz Le mutuz anaweza tu akaweka picha, basi flora ataiweka kwenye blog yake na atashusha hiyo michambo hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbuta Nanga anaongeza visitors tu kwa blog yake ni kama style anayotumia Le big show.
 
Nakumbuka alifanyiwa interview na Mboni Masimba na alijibu vizuri sana yani kama humjui usingeweza kudhani kama anajitoaga ufahamu kiasi hiki. Yaani me nachekaga tu jamani anavyomchambaga Le Mutuz, Kumbe mzima ila anajifanya sakala,mi simpendi yule mdada alivyo mweusi kama mimi
na mlipstiki wake mwekundu!!!ptuu
 
Back
Top Bottom