Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka tumekuwa wazee hahahaha akwende zakeAfadhali,
Issa Hayatou tangu 1988 watu tuko shule za msingi bhana
Wengine hatukuzaliwa!!Afadhali,
Issa Hayatou tangu 1988 watu tuko shule za msingi bhana
hizi ni dalili za watu kumchoka mtu kupita kiasiHali itakuwa hivyo kwenye kinyang'anyíro cha kumpata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baba Jesica tupa kule.
I wish🙁🙁😵😵
Ila wewe!Safi sana.
wewe inaelekea umekunywa banana au balimiNadhan ni kama ilivokua kwa eddo
Puuh
Manyumbu aaaah,tumeibiwa kura