mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
fake ID hizi bro 😂Lilikuwa ni swali serious... lakini umeamua kulijibu kimakuzi, sema fresh!
Usipende kutangaza dhambi zako au uchafu wako hadharani. Kama ulifanya na mumeo then okay ila si vyema ku-expose mambo ya ndani hadharani au mitandaoni. Maisha yetu ni limited ila haya maandishi na hizi records zinaishi kuliko hata muda wetu hapa duniani.
SAMAHANI KAMA UKWELI HUU UTAKUKWAZA.
Peace!✌🏾👍🏾