Wapi nimesema pameandikwa habari za mchungaji kwenye mada?Samahani kwa nia njema tu. Naomba nijifunze wapi wamesema au pameandikwa Mchungaji kumfanyia. Maombi huyo mbuzi.
Sasa kwanini unawataja na kuwashutumu wachungaji tena wa kiroho?Wapi nimesema pameandikwa na mchungaji?
hapana, labda ukute wasio na elimu za maumbile ya viumbe haiHauwezi kuta wa kkkt au Padri kafanya hivyo , hawa ni wale wachungaji oya oya wanaojiita wa kiroho
Umekurupuka kama panya msinambi na ma I'd yako kibao niliyoyalamba ignore 😅 soma vizuri reply yangu imetokea wapiSasa kwanini unawataja na kuwashutumu wachungaji tena wa kiroho?
Dogo na miwani yako 😂😂😂 badilika, sio kila kitu kushutumu wachungaji na Ukristo Mkuu. Sio vyema na wala sio Ujanja. Hata kama huamini katika dini sio vyema kuwasema in Negative way wengine bro.
Badilika bro.
Wachungaji hao nawafahamu vizuri mno , labda atokee vyuo vya kilutheri kwa kuasi ndio utakuta zimo , tofauti na hapo sahauhapana, labda ukute wasio na elimu za maumbile ya viumbe hai
Hahahaaa sijakurupuka.Umekurupuka kama panya msinambi na ma I'd yako kibao niliyoyalamba ignore 😅 soma vizuri reply yangu imetokea wapi
Hapa ulikuwa unamaanisha nini?Hauwezi kuta wa kkkt au Padri kafanya hivyo , hawa ni wale wachungaji oya oya wanaojiita wa kiroho
Unajua hilo linaweza leta maafa?Mwenzio anaami kakabidhiwa jaribu la kiroho.
Kwamba imetokea tu nikaandika hivyo?Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
Haujawahi nifuatilia hapa unafanya kitu gani? Unaelewa unakiandika au unakurupuka tu?Hahahaaa sijakurupuka.
Nakushauri tu pia sidhani kama una hadhi kwangu ya kuni ignore na wala sijawahi kukufuatilia kwani umri wangu huna umuhimu wa huna la maana la mimi kukufuatilia wala kukujua ila nakushauri kwa nia njema tu.
Sio vyema kushutumu na kukera imani za wengine.
Badilika we dogo.
ni jinsi sio jinsia.Jinsi ni sex na jinsia ni genderTukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza kubadilika na kuwa na jinsia moja.
View attachment 3567450
Mmiliki wa mbuzi huyo, Catherine Kachwele, mkazi wa eneo hilo, amesema alijikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kugundua kuwa mbuzi aliyopewa kama zawadi ana jinsia mbili.
Akizungumza na East Afica Radio, Kachwele, ambaye ni mtaalamu wa tiba asili, amesema kuwa alipata mbuzi huyo mkoani Kigoma kama sehemu ya malipo ya huduma ya matibabu aliyotoa kwa mgonjwa aliyekuwa hana fedha za kutosha.
Akitoa ufafanuzi wa kitaalamu, daktari wa mifugo wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Jackson Mutayaba, amesema hali hiyo inajulikana kama hitilafu ya kuzaliwa (congenital anomaly), ambapo viungo vya mwili hujitokeza tofauti na mpangilio wa kawaida.
Ameeleza kuwa moja ya sababu zinazoweza kuchangia ni pamoja na kuzaliana kwa wanyama wa ukoo mmoja (inbreeding), hali inayoweza kusababisha mabadiliko yasiyo ya kawaida katika maumbile ya wanyama.
Sio hili tu mkuu, imani yoyote inaweza kuleta maafa, moja ya vita mbaya ni vita vya imani.Unajua hilo linaweza leta maafa?
Fantasy za watu sio mchezo bwasheeSio hili tu mkuu, imani yoyote inaweza kuleta maafa, moja ya vita mbaya ni vita vya imani.
😁🤣😅😍😆👋👋Akili za wasukuma wanazijua wenyewe
Unanipotezea muda. Mi mtu mzima kidogo ila acha shobo na ujuaji na imani za watu.Haujawahi nifuatilia hapa unafanya kitu gani? Unaelewa unakiandika au unakurupuka tu?