Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

Wapi nimesema pameandikwa na mchungaji?
Sasa kwanini unawataja na kuwashutumu wachungaji tena wa kiroho?

Dogo na miwani yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ badilika, sio kila kitu kushutumu wachungaji na Ukristo Mkuu. Sio vyema na wala sio Ujanja. Hata kama huamini katika dini sio vyema kuwasema in Negative way wengine bro.

Badilika bro.
 
Umekurupuka kama panya msinambi na ma I'd yako kibao niliyoyalamba ignore πŸ˜… soma vizuri reply yangu imetokea wapi
 
Umekurupuka kama panya msinambi na ma I'd yako kibao niliyoyalamba ignore πŸ˜… soma vizuri reply yangu imetokea wapi
Hahahaaa sijakurupuka.

Nakushauri tu pia sidhani kama una hadhi kwangu ya kuni ignore na wala sijawahi kukufuatilia kwani umri wangu huna umuhimu wa huna la maana la mimi kukufuatilia wala kukujua ila nakushauri kwa nia njema tu.

Sio vyema kushutumu na kukera imani za wengine.

Badilika we dogo.
 
Huyo mbuzi angechinjwa na apikwe supu, nina uhakika nyama ingekua laini hata mchuzi ungekua mdebwedo tupu....πŸ˜‹
Sema huko kwetu lazima wajipange upya kwamba chizi kalogwa tena....🀣
 
Haujawahi nifuatilia hapa unafanya kitu gani? Unaelewa unakiandika au unakurupuka tu?
 
ni jinsi sio jinsia.Jinsi ni sex na jinsia ni gender
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…