INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

Beah

Senior Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
127
Reaction score
76
Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri.

Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha.

Mawasiliano 0652746359

IMG-20220430-WA0003.jpg
 
Mbona bei kubwa sana sasa yaani mbuzi unauza bei sawa na mtoto wa ng'ombe.
 
Mkuu nenda fb huku jf yamejaa majuaji juaji tu,
 
Wanachokuambia sema bei.
Unatangaza Mbuzi wakubwa na Kondoo. Sawa. Kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom