Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Mbususu ya mbusi aka ku.ma mbuzi bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajipika wenyewe kwa kadri ya mahitaji yako mlaji..Yaani ninunue Mbuzi kwa bei ya Ng'ombe??
Wana nini cha ziada hao?
Kama kweli unauza mbuzi/kondoo hapa jukwaani hauna budi kutoa picha ya bei ndipo watu watakuelewa. Unaweza kusema kuanzia shilingi kadhaa kwa mbuzi mdogo hadi shilingi kadhaa kwa mbuzi wakubwa n.k..Mbuzi wapo wa ukubwa tofauti na kila siku tunashusha mzigo mpya fika shamba uweze kujua bei. Karibuni sana
Ili kama mtu akifunga safari awe anajua anachoenda kufanya na sio blah blahKama kweli unauza mbuzi/kondoo hapa jukwaani hauna budi kutoa picha ya bei ndipo watu watakuelewa. Unaweza kusema kuanzia shilingi kadhaa kwa mbuzi mdogo hadi shilingi kadhaa kwa mbuzi wakubwa n.k..
Nimeona nikusaidie ufafanuzi kama haujawaelewa watoa comments
Yaani kushambuliwa kite huko bado umekomaa ,kimsingintangazo lako hapa limefali Kwa.kiwango Cha kuridhisha!Mbuzi wapo wa ukubwa tofauti na kila siku tunashusha mzigo mpya fika shamba uweze kujua bei. Karibuni sana
Maana yake uweke bei jiongezeSijaweka bei wakuu labda kama nyie moo na bei zenu vichwani.
Hawezi Kusema, Hatasema KamweUnawatoa wapi? Bunju Gani,Nije...
Ndio uweke bei sasaSijaweka bei wakuu labda kama nyie moo na bei zenu vichwani.