Mbwa anauzwa 300k

Mbwa anauzwa 300k

Mimi nakushauri hizo picha ungezifuta kwanza. Halafu ungemlisha huyo mbwa hata kwa miezi miwili hivi, na kumsafisha vizuri ili apendeze!

Baada ya hapo, pige tena picha na kuziweka humu jukwaani! Hakika utanishukuru.
kama asipotokea mteja ntakafuga hata mimi , nije nimuuze kwa bei kubwa zaidi.. hzo picha nimepiga soon baada ya kumpata , bado sijamsafisha unamuona hata alivyo
 
Back
Top Bottom