Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Mbwa wa kuokota anauzwa laki nne[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]aiseeSpecification zake:
Anaimba
Ana bluetooth
Ana nawa kabla ya kula
400000tsh
Vipi walivo watamu ,mlivowatafuna morogoro mjini kasoro bahariDuuh!!!
Kama ni utani huu umepitiliza
Huyu si mbwa wa wahehe vilabuni
Kwa aina ya mbwa aliyemtaja hiyo ni bei ya kutupa kabisa..Mbwa anauzwa bei ghali hivyo?!!! Tena ka-mbwa ka miezi 2... Na mkubwa wa mwaka na zaidi atauzwaje wakuu?...
Hebu tuache masihara
Pure breed puppy ya german shepherd inauzwa hadi laki 8 mkuu . Sema angepiga na picha ya mama yake na baba yake ili tujue muunganiko wa katoto.maana kwa mfanyabiashara wa mbwa siriaz haruhusu kuchanganya mbegu na mbwa wa vilabuni.Mbwa anauzwa bei ghali hivyo?!!! Tena ka-mbwa ka miezi 2... Na mkubwa wa mwaka na zaidi atauzwaje wakuu?...
Hebu tuache masihara
Jamaa amefeli hapo tu. Ila bei ya mbwa iko chiniDah mkuu boresha tangazo kwanza mbwa mchafu location chafu then 400k kumbuka mbwa uyo hawanunui watu wa tandale kwa tumbo au mbagala kwa yamba au buza kwa lulenge.
Duh... Af mbona kama kana nanilii pale katiKutana na vanilla manunu anauzwa kanauzwa mil 3[emoji2][emoji2]View attachment 1797011
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mgonga like umekoment🤣
hahaha kmmkYaani laki nne mtu anapata kiwanja heka nzima, mwingine anapata mtaji.
Sasa pale kwetu huyo mbwa huwa tunabadilishana na kuku. Kuku mmoja kwa mbwa mmoja. Ukiuza laki nne huyo mbwa nipatie ushaidi nikuongezee laki ukalewe vizuri.
Ni mzuri kwa wanaojua mbwa,Mbwa jike GERMANY SHEPHERD ana umri wa miezi2 na wiki2. Yupo Pugu-Dar. cont:0625471226 bei laki4 ila mazungumzo yapo
View attachment 1796377View attachment 1796378View attachment 1796379