INAUZWA Mbwa anauzwa

INAUZWA Mbwa anauzwa

Dah mkuu boresha tangazo kwanza mbwa mchafu location chafu then 400k kumbuka mbwa uyo hawanunui watu wa tandale kwa tumbo au mbagala kwa yamba au buza kwa lulenge.
 
Mbwa anauzwa bei ghali hivyo?!!! Tena ka-mbwa ka miezi 2... Na mkubwa wa mwaka na zaidi atauzwaje wakuu?...
Hebu tuache masihara
Pure breed puppy ya german shepherd inauzwa hadi laki 8 mkuu . Sema angepiga na picha ya mama yake na baba yake ili tujue muunganiko wa katoto.maana kwa mfanyabiashara wa mbwa siriaz haruhusu kuchanganya mbegu na mbwa wa vilabuni.

Ukiwa na pure breed na wewe utauza vi puppy kwa hela nyingi hivyo hela ya matunzo na uliyonunulia itarudi.

Ni biashara nzuri kama utakuwa " siriaz".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutana na vanilla manunu anauzwa kanauzwa mil 3[emoji2][emoji2]
20210525_100948.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitarudia picha ila kwa anaejua mbwa atakuwa ameelewa ila wewe unaefikiri Germany breed ni sawa na mbwa wa kuzurura huwezi elwwa
 
Yaani laki nne mtu anapata kiwanja heka nzima, mwingine anapata mtaji.

Sasa pale kwetu huyo mbwa huwa tunabadilishana na kuku. Kuku mmoja kwa mbwa mmoja. Ukiuza laki nne huyo mbwa nipatie ushaidi nikuongezee laki ukalewe vizuri.
 
Yaani laki nne mtu anapata kiwanja heka nzima, mwingine anapata mtaji.

Sasa pale kwetu huyo mbwa huwa tunabadilishana na kuku. Kuku mmoja kwa mbwa mmoja. Ukiuza laki nne huyo mbwa nipatie ushaidi nikuongezee laki ukalewe vizuri.
hahaha kmmk
 
Hizo ndio bei za germany shepherd ila huyu ni fisimaji
 
Back
Top Bottom