Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

R
Hamna kitu hapo, huyo ni mbwa wa urembo tu..na companion.Kama ni ulinzi -Germany Shephard...(anza na huyu).Ukipiga hatua kiuzoefu..chukua Rotweiler, zaidi Pitbul...

Kama uko nje ya mji una shamba kubwa mifugo, space ya kutosha....Kangal (ingawa nahisi sio wengi Tz).
Ottweiller , Bulldog na pitbull usijaribu kabisa . Jana tu usiku wa kuamkia leo Bulldog wawili wameshambukia familia ya mmiliki wao
 
Back
Top Bottom