[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu nimnunulie na kitenesi cha kuchezea?
Yaani nifuge mbwa kwa ajili ya ulinzi alafu niishi kwa masharti magumu kiasi hicho eti kisa wana wivu! Kwani mbwa wa kufuga wameisha mpaka nikafuge wao