Mbwa hafanyi mapenzi kama burudani hivyo kwenye suala la uhuni mtoe kabisa. Mbwa hufanywa mapenzi tuu kwa lengo la kuzaliana na mpaka mwenzake awe kwenye heat.
Kitendo Cha kufanya mapenzi popote, wao hawakutenda dhambi kama binaadamu hivyo aibu na kufichua uchi hawana, ndio maana wanatembea uchi lakini wewe binaadamu unamwona kapendeza kama kavaa nguo na Wala huwezi kugfikiria kuwa yupo uchi na utamshikashika bila shida yoyote.
Ukiona mbwa anafanya mapenzi hovyo hovyo na viumbe wengine na hata binaadamu, ujue kafundishwa na kulelewa vibaya na wanaomtunza na hivyo kubadili tabia yake ya asili
Binaadamu tilipewa adhabu baada ya kumkosea Mungu ndio maana tunavaa nguo kufichua uchi na kufanya tendo mapenzi kifichoni. Haikuwa mpango wa Mungu Bali hayo yote yalikuja kama adhabu baada ya kumkosea Mungu.
Hivyo wanyama Wana nafasi kubwa mbele ya Mungu ijapokuwa binaadamu tunajiona ni Bora zaidi , tunawapiga, tunawatumikisha, tunawachinja, saa nyingine tunaowaita Haramu wakati haramu ni sisi tuliopewa adhabu na Mungu