bora jogoo huwa anapiga bao chapu. mshenzi ni bata ๐Jogoo anaweza bandua jike hata mbele ya voingozi wake wa kitaifa.Na wakati anamkimbiza jike anaweza hata kupita chini ya kiti cha kiongozi wake
Paka akizidiwa haibu anaweka pembeni, hujawahi ona paka wa Bar au mtaani wanabakana mbele za watu?Mbwa wahuni sana kwenye mapenzi kuliko wanyama wengine, mbwa haoni aibu kungonoka mbele za watu tofauti na paka yeye huenda mafichoni
Huyu Mungu ulumkosea wapi?Mbwa hafanyi mapenzi kama burudani hivyo kwenye suala la uhuni mtoe kabisa. Mbwa hufanywa mapenzi tuu kwa lengo la kuzaliana na mpaka mwenzake awe kwenye heat.
Kitendo Cha kufanya mapenzi popote, wao hawakutenda dhambi kama binaadamu hivyo aibu na kufichua uchi hawana, ndio maana wanatembea uchi lakini wewe binaadamu unamwona kapendeza kama kavaa nguo na Wala huwezi kugfikiria kuwa yupo uchi na utamshikashika bila shida yoyote.
Ukiona mbwa anafanya mapenzi hovyo hovyo na viumbe wengine na hata binaadamu, ujue kafundishwa na kulelewa vibaya na wanaomtunza na hivyo kubadili tabia yake ya asili
Binaadamu tilipewa adhabu baada ya kumkosea Mungu ndio maana tunavaa nguo kufichua uchi na kufanya tendo mapenzi kifichoni. Haikuwa mpango wa Mungu Bali hayo yote yalikuja kama adhabu baada ya kumkosea Mungu.
Hivyo wanyama Wana nafasi kubwa mbele ya Mungu ijapokuwa binaadamu tunajiona ni Bora zaidi , tunawapiga, tunawatumikisha, tunawachinja, saa nyingine tunaowaita Haramu wakati haramu ni sisi tuliopewa adhabu na Mungu
bata ni mshenzi sana akiwa ana gegeda ana anza kwanza na romance, yaani hana haraka kama mwenzie jogooAnachelewa sana au
Tatizo lenu Watanzania udini mwingi mahubiri kila kona, tushachokaga na mahubiri yenu, Tanzania bila Dini InawezekanaMbwa hafanyi mapenzi kama burudani hivyo kwenye suala la uhuni mtoe kabisa. Mbwa hufanywa mapenzi tuu kwa lengo la kuzaliana na mpaka mwenzake awe kwenye heat.
Kitendo Cha kufanya mapenzi popote, wao hawakutenda dhambi kama binaadamu hivyo aibu na kufichua uchi hawana, ndio maana wanatembea uchi lakini wewe binaadamu unamwona kapendeza kama kavaa nguo na Wala huwezi kugfikiria kuwa yupo uchi na utamshikashika bila shida yoyote.
Ukiona mbwa anafanya mapenzi hovyo hovyo na viumbe wengine na hata binaadamu, ujue kafundishwa na kulelewa vibaya na wanaomtunza na hivyo kubadili tabia yake ya asili
Binaadamu tilipewa adhabu baada ya kumkosea Mungu ndio maana tunavaa nguo kufichua uchi na kufanya tendo mapenzi kifichoni. Haikuwa mpango wa Mungu Bali hayo yote yalikuja kama adhabu baada ya kumkosea Mungu.
Hivyo wanyama Wana nafasi kubwa mbele ya Mungu ijapokuwa binaadamu tunajiona ni Bora zaidi , tunawapiga, tunawatumikisha, tunawachinja, saa nyingine tunaowaita Haramu wakati haramu ni sisi tuliopewa adhabu na Mungu
mh!โAfu kuna nini,mbona hiz siku mbilitatu vijana wa kiume mnanjadili sana mbwa...kuna nini nyuma ya pazia mkuu,?
mhMnhuu,inaogopesha aisee, isije kuwa mshaanza kupenda papuchi za mbwa zilivyotuna vile...mtakuwa mmeamua kutukomoa wanawake...kuolewa byebye
Basi wanabakana sanaSijawahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora jogoo huwa anapiga bao chapu. mshenzi ni bata [emoji23]
Paka wanafanya mapenzi zaidi ya binadamu, hadi style wanawekanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paka akizidiwa haibu anaweka pembeni, hujawahi ona paka wa Bar au mtaani wanabakana mbele za watu?
Mamaa cocastic umeongea ukweli ila hili suala la eti ukiona paka wanafilana ni mkosi ni uwongo mtupu ni sawa tu na baadhi ya watu waliodanganywa kuwa kula nguruwe ni haram lakini bado wanakula na hawajafa na mpaka hapa JF wapo wanakuja changia mada. Paka wetu anazaa karibu kila miezi 3 au 4 na muda wa kutiana yeye mwenyewe alivyo mwehu analeta waume zake toka huko mitaa ya Uswahilini anakuja kubakwa chini ya dirisha langu huku ukisikia anaguna kuashiria kuwa ana enjoy. Nimemshuhudia mara kibao na sioni mkosi wangu.Paka wanafanya mapenzi zaidi ya binadamu, hadi style wanawekanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Paka jike anaulilia balaaa, nilisha wahi shuhudia, japo wanasema ni mkosi.