Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

rastamonsta

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Hello every1,
Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave it,stay,attack,na mengine mengi.
Ana miezi mitano na chanjo zote ashapata hadi ya rabies.Ni mkali sana kwa strangers.Bei ni $2000.
 

Attachments

  • IMG_20141226_112403.jpg
    336 KB · Views: 1,330
  • IMG_20141226_112318.jpg
    362.7 KB · Views: 1,124
  • IMG_20141226_112143.jpg
    248.9 KB · Views: 1,144
  • IMG_20141226_112354.jpg
    314 KB · Views: 1,030
  • IMG_20141226_112259.jpg
    166.9 KB · Views: 989
Gari used unapata kabisa hiyo bei daah huku tunapolekea ni shida
 
Si ushamba...ni Rottweiler..kama unajua breeds za mbwa ungeelewa na amefanyiwa nini na kutunzwa vipi..
 
Nafanya dog training pia...kwa anayetaka..awe wa kizungu ama wa kiswahili
 
Wanaowanunua rottweiler mara nyingi wanataka walinzi.Ukiwa na rottweiler unamfuta kazi askari wako wa getini.
Kwa sababu kila mtu anazungumzia value yake,tuseme uamue kumfuga kwa minajili ya kupata pesa.Huyu ana miezi mitano na ndani ya miezi mingine minne atakuwa ako tayari kupandwa na ndume.Averagely huzaa vijibwa 7.Kila kijibwa akiuzwa kwa bei ya chini kabisa ni $500.Na kwa mwaka ni mara mbili mbwa anazaa.Na anaweza akazaa hadi afike miaka 9 vizuri tu.
 

mkuu hiyo pesa nanunua mbwa au natoa mahali? my wife material Heaven on Earth ebu niambie mama mahali kwenu inaweza kufika sh ngapi maana huku hela yote naambiwa napewa ki.mbwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Let me put it this way...huyu angekua puppy wa 2 mnths ningeuza 500...cz bado ako "raw" na bado kuna chanjo ungemalizia na mafundisho ungefanya cz rotties bila shule is like a loaded gun.Hapa nimefanya "value addition"
Code:
the reason bei imeenda juu.Hope yu understand
 
Hiyo US $ 2,000 naweza kununua CCTV system na kuiweka kuhakikiksha mali yangu imekaa salama.
Not a bad idea either.it all. Depends on wether you wanted a dog or cctv for security.With a dog yu have both cctv and r"risasi".and u can hav a cctv for less I believe.
The truth is people fear dogs than cctv.Na Long story short kama sio mpenzi wa mbwa ni vigumu kuelewa
 
Hehehe hii ndio bongo bana. Unakua na hao mbwa wawili jumla umewnunua kwaa 7mil halafu chakul kwa wiki ni laki 3.5 hadi 4. Kwa mwezi mbwa tu wanakul 1.5 halafu unakaa apartment pale upanga unalipa 3.5 mil kwa mwezi!
Kwanini nisimpe traffic ki laki 1 aniwashie kingota nisisubiri traffic bana.

Hehehe. Gotta love it!
 
nataka mpwa mdogo mweupe

ile breed ndogo kabisa ambae ameshafundishwa

shingapi???
 
Jaribu kumuona mjane wa kaju.mulo ana rizavu ya 2.kasoro kadhaa ya bilioniz ovu hela za madafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…