Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

nataka mpwa mdogo mweupe

ile breed ndogo kabisa ambae ameshafundishwa

shingapi???[/Q

Dada kuna breed nyingi ya mbwa wadogo weupe.Kuna Maltese,coton de tular,japanese spitz,scottish terrier n.k.labda ugoogle kati ya hizo then uniambie unazungumzia yupi.On the other hand huwa sijihusishi na hao wadogo.Naweza kukutaftia ukanunua then nikakufundishia.
 
Hello every1,
Nauza huyu mbwa wa kike aina ya Rottweiler.Nilimnunua kutoka Kenya na kumfundisha "basic obedience" pamoja na guard instincts kumanisha anaskia ukimwambia sit,down,come,leave it,stay,attack,na mengine mengi.
Ana miezi mitano na chanjo zote ashapata hadi ya rabies.Ni mkali sana kwa strangers.Bei ni $2000.

Ukimuacha na mtoto anampikia pia
? Usd 2000 kwa limbwa tu si mchezo au ni fundi cherehani pia ili awe ananiingizia ela ata kdg
 
Brethren hapa ndipo akili za ujasiriamali imenifikia.Wale wanafuga kuku na wenye mikahawa pia ni ya kwao.Haina haja kunikejeli na kunionyesha dharau kwa "kazi" yangu.Tukumbuke hata vyumba vya kuhifadhi maiti ina wafanyikazi.Its Betta to encourage one another than to despise their entrepreneurial skills.Share yur opinion but with respect.
 
Hahahaa this made my day, unataka akushonee mshono gani??
 
Kwa imani yako ni haramu sio kwa kila mtu.Ni Tz ni nchi ya watu huru na hujalazimishwa kumnunua
 
nataka mpwa mdogo mweupe

ile breed ndogo kabisa ambae ameshafundishwa

shingapi???[/Q

Dada kuna breed nyingi ya mbwa wadogo weupe.Kuna Maltese,coton de tular,japanese spitz,scottish terrier n.k.labda ugoogle kati ya hizo then uniambie unazungumzia yupi.On the other hand huwa sijihusishi na hao wadogo.Naweza kukutaftia ukanunua then nikakufundishia.

haya nataka anaejua hadi kuingia chooni kujisaidia sitaki ajisaidie kila mahali
 
Brethren hapa ndipo akili za ujasiriamali imenifikia.Wale wanafuga kuku na wenye mikahawa pia ni ya kwao.Haina haja kunikejeli na kunionyesha dharau kwa "kazi" yangu.Tukumbuke hata vyumba vya kuhifadhi maiti ina wafanyikazi.Its Betta to encourage one another than to despise their entrepreneurial skills.Share yur opinion but with respect.

Chukulia comments za watu humu kama challenge mkuu, take it easy
 
Obedience...kama hao wadogo watu huishi nao ndani..so kuenda haja nje ni lazima,akiitwa lazima aje,ukimwambia awache kitu,kubweka au kutobweka,alale chini ama aende sehemu yake ya kulala,mengi tu anawezafunzwa kulingana na matakwa yako
 
Brethren hapa ndipo akili za ujasiriamali imenifikia.Wale wanafuga kuku na wenye mikahawa pia ni ya kwao.Haina haja kunikejeli na kunionyesha dharau kwa "kazi" yangu.Tukumbuke hata vyumba vya kuhifadhi maiti ina wafanyikazi.Its Betta to encourage one another than to despise their entrepreneurial skills.Share yur opinion but with respect.

Usikatishwe tamaa na maneno ya watu, tupo watu tofauti wa aina tofauti.Muhimu angalia lengo lako.

Binafsi, sina mpango wa kununua mbwa saizi lakini bado hiyo bei ipo juu sana, hiyo bei labda angekuwa tayari ana mwaka kabisa na kamaliza mafunzo yote.

Ila muhimu sana usiwe rigid kwenye bei, kama hiyo ni biashara jenga mazingira ya kuwa na soko kubwa na kufikia huko unapaswa uuze wengi kwa wakati mmoja(means kwa bei itakayoonekana kwa wengi kuwa nzuri) kuliko kuuza mmoja mmoja kwa kipindi kirefu kwa kuweka bei kubwa.

Ukiwa na bei nzuri watu wengi watasimuliana na watakuja wengi zaidi kununua na utapata soko kubwa zaidi la kuwafundisha mbwa hao.

Mie kuna jamaa uwa ananifundishia mbwa mmoja kwa laki 4, sasa kwa bei tu hii ya kuuza mbwa inaonyesha kuwa ata bei yako ya kufundisha itakuwa juu sana, hivyo unaweza kuwaogopesha ata watu kunegotiate.
 
Training nafanya kwahio 4lakhs.And I dint say ndio final price.Mtu akinipa offer then I consider.You also know mtu akijiamini ana kitu quality then Id rather keep than sell kwa kununa.Will heed to your advice
 
Hiyo US $ 2,000 naweza kununua CCTV system na kuiweka kuhakikiksha mali yangu imekaa salama.
Ukienda jengo la GEPF pale Bagamoyo Rd, eneo la Victoria, kuna kampuni ya wazungu wana offer ya Digital CCTV cameras 4, monitor 1, PVR 1 ya 2 TB kwa bei ya 1,200!. installation free!.

Ila kiukweli umuhimu wa Mbwa wengi wa sisi waswahili hatujui, tunathani kazi ya mbwa ni kubweka tuu ili kuzuia wezi!. Mbwa wa Rottweiler kwenye top ten most intelligent dogs, xxddyt kuwa trained hadi kwenda dukani, supermarket etc.
Wengi wanadhani mbwa anatumia kunusa sii kweli, anatumia PSI Powers, hivyo akiwa well trained, hata kama kuna hatari mbeleyako ana sense kabla na anakuzuia usiende!, mwizi akija ana sense kabla na kukualert kabla!. CCTV camera ni mpaka uwe macho ndio umuone mwizi, mijizi ya kisasa inazijua nyumba zenye kamera, anaziba CCTV.

Merry X-Mass.

Pasco
 
Training nafanya kwahio 4lakhs.And I dint say ndio final price.Mtu akinipa offer then I consider.You also know mtu akijiamini ana kitu quality then Id rather keep than sell kwa kununa.Will heed to your advice

Pamoja sana
 
Ukienda jengo la GEPF pale Bagamoyo Rd, eneo la Victoria, kuna kampuni ya wazungu wana offer ya Digital CCTV cameras 4, monitor 1, PVR 1 ya 2 TB kwa bei ya 1,200!. installation free!.

Ila kiukweli umuhimu wa Mbwa wengi wa sisi waswahili hatujui, tunathani kazi ya mbwa ni kubweka tuu ili kuzuia wezi!. Mbwa wa Rottweiler kwenye top ten most intelligent dogs, xxddyt kuwa trained hadi kwenda dukani, supermarket etc.
Wengi wanadhani mbwa anatumia kunusa sii kweli, anatumia PSI Powers, hivyo akiwa well trained, hata kama kuna hatari mbeleyako ana sense kabla na anakuzuia usiende!, mwizi akija ana sense kabla na kukualert kabla!. CCTV camera ni mpaka uwe macho ndio umuone mwizi, mijizi ya kisasa inazijua nyumba zenye kamera, anaziba CCTV.

Merry X-Mass.

Pasco
Well spoken Pasco!Can somebody say Amen!This one is trained to level 2 guarding.Akifika levetu protection dog nini totally different animal.People Should read and learn from others.Rottweir lesioimbwawa tu.Ni sawa na bunduki
 
Back
Top Bottom