Ukienda jengo la GEPF pale Bagamoyo Rd, eneo la Victoria, kuna kampuni ya wazungu wana offer ya Digital CCTV cameras 4, monitor 1, PVR 1 ya 2 TB kwa bei ya 1,200!. installation free!.
Ila kiukweli umuhimu wa Mbwa wengi wa sisi waswahili hatujui, tunathani kazi ya mbwa ni kubweka tuu ili kuzuia wezi!. Mbwa wa Rottweiler kwenye top ten most intelligent dogs, xxddyt kuwa trained hadi kwenda dukani, supermarket etc.
Wengi wanadhani mbwa anatumia kunusa sii kweli, anatumia PSI Powers, hivyo akiwa well trained, hata kama kuna hatari mbeleyako ana sense kabla na anakuzuia usiende!, mwizi akija ana sense kabla na kukualert kabla!. CCTV camera ni mpaka uwe macho ndio umuone mwizi, mijizi ya kisasa inazijua nyumba zenye kamera, anaziba CCTV.
Merry X-Mass.
Pasco