Ingekuwa upo moshi au arusha ningeweza kukusaidia kupata lakini uko mbali
Hapana kaka,mimi kwa sasa sijaanza kuzalisha ila kuna watu ambao nafahamu wanauza na bei haipungui laki 3 na nusu kwa German Sherferd na kwa Rotweiller anaenda kwenye laki sita. Wote hao ni mbwa wakiwa na miezi 3Mkuu kama unao nisaidie kuwapata japo wawili Mkuu... Hebi ni-Pm details pamoja na gharama zao.
Hapana kaka,mimi kwa sasa sijaanza kuzalisha ila kuna watu ambao nafahamu wanauza na bei haipungui laki 3 na nusu kwa German Sherferd na kwa Rotweiller anaenda kwenye laki sita. Wote hao ni mbwa wakiwa na miezi 3
Ungekuwa Dar es Salaam tungekupa contacts; Dodoma ni issue! Lazima ujue unataka mbwa gani na una bajeti gani! Mbwa wazuri si chini ya 300000, crosse breed ya German na other breeds; pure GS ni laki 5 plus
Mkuu GS kwa Dar wanapatikana wapi? nawahitaji