Mbwa wa Kununua Anahitajika haraka sana!

Mbwa wa Kununua Anahitajika haraka sana!

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
73
Reaction score
13
Habari wana JF,
Jamani kama kuna mwenye kujua mahali wanapouza mbwa tafadhali anijuze.....
Nahitaji mmoja tu wa ulinzi wa nyumbani...
Natanguliza shukrani za dhati!!
 
Mkuu mi ninao ila ni KOKO na wana tatizo moja wao usiku hata wakiona panya ni lazima wabweke. Hivyo unaweza amka ukakuta wana bwekea panya, na wanaogopa sana Paka sijajua ni kwa nini ila nafanya kautafiti
 
Ingekuwa upo moshi au arusha ningeweza kukusaidia kupata lakini uko mbali
 
Ingekuwa upo moshi au arusha ningeweza kukusaidia kupata lakini uko mbali

Mkuu kama unao nisaidie kuwapata japo wawili Mkuu... Hebi ni-Pm details pamoja na gharama zao.
 
Mkuu kama unao nisaidie kuwapata japo wawili Mkuu... Hebi ni-Pm details pamoja na gharama zao.
Hapana kaka,mimi kwa sasa sijaanza kuzalisha ila kuna watu ambao nafahamu wanauza na bei haipungui laki 3 na nusu kwa German Sherferd na kwa Rotweiller anaenda kwenye laki sita. Wote hao ni mbwa wakiwa na miezi 3
 
Ndugu tuwekane sawa!

Ukikuta ROTWEILLER puppy anauzwa laki 6 ujue kuna mashaka na ukoo wake; pure Rotweiller si chini ya $1000 au ukikuta mtu mwenye bei ndogo itakuwa ni M1!! Kuna Rotweiller ambao watu wanawachanganya na Doberman, then wakiwa bado wadogo wanawakata mikia, kwa aiyejua mbwa anamweza kuamini kuwa ni pure.....

German Shepherd kwa Dar ni 500,000/= kwenda juu; ukikuta anayeuza chini ya hapo basi ujue wazazi wa mbwa hao kuna amabaye siyo pure....
 
Ungekuwa Dar es Salaam tungekupa contacts; Dodoma ni issue! Lazima ujue unataka mbwa gani na una bajeti gani! Mbwa wazuri si chini ya 300000, crosse breed ya German na other breeds; pure GS ni laki 5 plus
 
Mkuu GS kwa Dar wanapatikana wapi? nawahitaji
 
Kamanda ninao Japanese Tosa na Pit Bull Terrier
ila wanapenda sana kula watoto na wezi! kwa hiyo akikisha unakata bima kabisa na kuomba kibali kwa polisi.

images
 
Mkuu GS kwa Dar wanapatikana wapi? nawahitaji

Pale Kilwa Road kitengo cha Mbwa na Farasi ukifika tu na kuuliza wale jamaa wanao, wanawafuga kwenye mabanda yapo close na kota zao pale pale!

Wengine ni wafugaji binafsi lakini lazima umwe na contacts, ni-PM ndani ya wiki niwe nimeuliza!
 
mkuu nenda sinza mugabe kwenye geti la kuingilia shule kuna jamaa anao pale wewe ni kufika na kuchukua mbwa mkubwa mkuu wapo last time aliniambia laki nane mkuu
 
Twanga: 0754 464 045; Dr. John
 
Back
Top Bottom