hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german shephard...na wa huko wanashinda indoor well fed,wanaratiba ya kuonana na vet,lakini pia hawapati kadhia ya kupigwa na mawe kama wa huku uswahilini ambao kila siku nginja nginja,kipigo kwao,kula yao iko miguuni kusaka matonge madamponi na kwenye majalala huko sasa ndo hukutana na kunguru walafi ambao hubeba hata kile ambacho mbwa hawa wangekula.mwishowe hufa kwa njaa na rabies.....