Mbwa wangu wamerogwa

Mbwa wangu wamerogwa

Wangu walikuwa hivyo hivyo na viroboto visivyo isha

Nikaenda kuwa tupa na viroboto kwisha kabisa

Mbwa gani abweki na yupo kwao, mbwa mgeni ukija ana kushobokea utazani mbwa wako ana kuja ana tikisa mkia ana kaa miguuni mwako

Mbwa kazi yake kula, ukitaka kusikia Katoa sauti basi usimpe msosi, utasikia sauti zote za malalamiko

[emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]anabweka akikosaa msosiii aisee huyo mbwa wako ni tegemezi anaishi kama yuko kwa shemeji yake [emoji81]
 
Nlimpa dawa za minyoo
Dawa za minyoo umejuaje Kama minyoo,? wenzako wanapeleka sua, au unamwita Dr wa mifugo, jirani yangu Dr wa mifugo, inaletwa mijibwa kutibiwa Mara nyingi tu,Mara nyingine watu wanamfata kutibia makwao mifugo yao.
 
Nitamksgua kesho niyakachofanya nawachukua wote kwenye gari naenda kuwatrlekrza mbali huko siez kaa na mijibwa inanitia gharama kuwalisha hata hayabweki
Lazima watarud, mbwa huwa wana tabia ya kunusa labda umpeleke wilaya nyingine lkn hapo hapo watarud tu
 
Back
Top Bottom