Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Jamani 😃😃😃😃Njoo nikuoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani 😃😃😃😃Njoo nikuoe
Wangu walikuwa hivyo hivyo na viroboto visivyo isha
Nikaenda kuwa tupa na viroboto kwisha kabisa
Mbwa gani abweki na yupo kwao, mbwa mgeni ukija ana kushobokea utazani mbwa wako ana kuja ana tikisa mkia ana kaa miguuni mwako
Mbwa kazi yake kula, ukitaka kusikia Katoa sauti basi usimpe msosi, utasikia sauti zote za malalamiko
Njoo nikuoe
Njoo nikuoe
@Leejay49 watu ujue wana majibu ya kuudhi, alomwambia mimi sina mke naniJamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndo binadamu tulivyo rafiki yangu😃...ila amestahili ulivyomjibu🤣🙈🙈@Leejay49 watu ujue wana majibu ya kuudhi, alomwambia mimi sina mke nani
Dawa za minyoo umejuaje Kama minyoo,? wenzako wanapeleka sua, au unamwita Dr wa mifugo, jirani yangu Dr wa mifugo, inaletwa mijibwa kutibiwa Mara nyingi tu,Mara nyingine watu wanamfata kutibia makwao mifugo yao.Nlimpa dawa za minyoo
Lazima watarud, mbwa huwa wana tabia ya kunusa labda umpeleke wilaya nyingine lkn hapo hapo watarud tuNitamksgua kesho niyakachofanya nawachukua wote kwenye gari naenda kuwatrlekrza mbali huko siez kaa na mijibwa inanitia gharama kuwalisha hata hayabweki