shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
Habari za usiku wakuu.
Ninao mbwa wangu wawili midume yote, niliwahasi mapema miaka ya nyuma. Kila siku sa nne usiku ndo nawatoa toka kwenye banda lao.
Nilichokiona muda huu nimekasirika sana,nilitamani nichukue panga niwakate kate wote.
Nimeona kuna mmoja anampandia pandia mwingine kama anataka kula Mzigo na mwingine anajilegeza tu wakati yote madume.
Mbaya zaidi yule anayepandiwa pandiwa ndio askari wangu hodari kabisa ninaye muamini.
Je inafaa kuwahasi mara ya pili?au niwape vyakula gani wasije kabisa wakaanza ugasho