Mbwa wangu wanataka kuanza tabia chafu ya kisodoma

Mbwa wangu wanataka kuanza tabia chafu ya kisodoma

shin gun wook

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
995
Reaction score
1,514
Habari za usiku wakuu.
Ninao mbwa wangu wawili midume yote, niliwahasi mapema miaka ya nyuma. Kila siku sa nne usiku ndo nawatoa toka kwenye banda lao.

Nilichokiona muda huu nimekasirika sana,nilitamani nichukue panga niwakate kate wote.

Nimeona kuna mmoja anampandia pandia mwingine kama anataka kula Mzigo na mwingine anajilegeza tu wakati yote madume.

Mbaya zaidi yule anayepandiwa pandiwa ndio askari wangu hodari kabisa ninaye muamini.

Je inafaa kuwahasi mara ya pili?au niwape vyakula gani wasije kabisa wakaanza ugasho
 
hujui kuwa hiki ni kipindi cha mbwa kuwa heat? watafutie mbwa wa kike muweke huma usiku mmoja wamttombe acha kuwanyima haki yaoo.. hii ndiy kipindi chaooooo hata huku kwetu wapo wapo busy
asante Mkuu.nitafanyia kazi ili.
 
Wawahi wewe kuwamega wataacha huo ujinga
 
Back
Top Bottom