Mbwa wangu wanataka kuanza tabia chafu ya kisodoma

Mbwa wangu wanataka kuanza tabia chafu ya kisodoma

Tena unamuasi mbwa dume asee jamaa wew unashida ya akili

Jike ndio muac asiongez familia
 
HAHAHA HUWEZI KUWAASI MARA YA PILI (CUSTRATION) KWA SISI TULIOSOMEA UTALII NA ANIMAL BEHAVIOUR,KITENDO MBWA (myama yoyote hata mbuzi au kuku n.k) WAKO ANACHOMFANYIA DUME MWENZIE SIO KWAMBA ANAKULA MZIGO (Nonsexual Mounting) ILA PALE ANAONESHA PACK KUWA YEYE NDO DOMINANT MALE, NA MWENYE CONTROL KWENYE PACK PIA IYO NI TABIA YA KUMPATIA CHANGAMOTO MWENZIE(Behavioural challenge). So uyo mbwa wako sio dominant male bali ni inferior male. Hukunaga myama shogo isipokuwa nitabia ya wanadamu na pia ni inferiority complex that any male animal mouted upon sexually/nonsexually is an inferior male!!
asante Mkuu.nimejifunza kitu haha
 
Back
Top Bottom