Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duhUmuhasi mbwa ulitaka kumla nyama
asante Mkuu.nimejifunza kitu hahaHAHAHA HUWEZI KUWAASI MARA YA PILI (CUSTRATION) KWA SISI TULIOSOMEA UTALII NA ANIMAL BEHAVIOUR,KITENDO MBWA (myama yoyote hata mbuzi au kuku n.k) WAKO ANACHOMFANYIA DUME MWENZIE SIO KWAMBA ANAKULA MZIGO (Nonsexual Mounting) ILA PALE ANAONESHA PACK KUWA YEYE NDO DOMINANT MALE, NA MWENYE CONTROL KWENYE PACK PIA IYO NI TABIA YA KUMPATIA CHANGAMOTO MWENZIE(Behavioural challenge). So uyo mbwa wako sio dominant male bali ni inferior male. Hukunaga myama shogo isipokuwa nitabia ya wanadamu na pia ni inferiority complex that any male animal mouted upon sexually/nonsexually is an inferior male!!
mchicha mwibaMbwa sio riziki hao
Hahahaamchicha mwiba