Mbwa wazuri na wakatili

Unakosea bro.

Breed nzuri inategemea na wewe unataka kumtumiaje mbwa.

German shepherd hawezi kumzidi labrador kama family dog au therapy dog au service dog(mbwa wa wasiojiweza).
Labrador ni mpole zaidi...
Nakubaliana na unachosema Ila Mbwa ni kama walivyo wachezaji, wapo wa kila aina. Lakini yule mwenye sifa nyingi ndio anaibuka the best. Je kwa vigezo vingi Labrador kamzidi GS, na poa uzingatie mazingira yetu

Nb: sijui vizuri sana kuhusu mbwa
 
Nakubaliana na unachosema Ila Mbwa ni kama walivyo wachezaji, wapo wa kila aina. Lakini yule mwenye sifa nyingi ndio anaibuka the best. Je kwa vigezo vingi Labrador kamzidi GS, na poa uzingatie mazingira yetu

Nb: sijui vizuri sana kuhusu mbwa
Unanikumbushia nyumbani tulikua na German shepherd wa kubwa wawili na mdogo mmoja, walimzoea mlinzi alivyokuja kuondoka pakawa hamna wa kuwaangalia ikabidi tuwape wanajeshi. Dah walikua wazuri hatari
 
hawa kukusahau owner ni mara moja wanakugeuza msosi

Yanini nifuge mbwa wa hivyo ukali na ukatili ? How

subiri iko siku watakutafuna wewe mwenyewe hao sio mbwa wa kufuga majumbani hawakawii kukugeuka na kukutafuna ukafia mbali ukiwa nao muda sio mrefu utabadilika jina na kuitwa RIP.
Kuna namna ya kufuga mbwa wakali

Na kosa la kwanza huwa ni kuwafungia ndani.
Wanahitaji eneo kubwa la kuhangaika, wana nguvu nyingi kwahiyo wasipohangaika wakachoka wanakuwa waharibifu

Halafu ni lazima uwazoeshe kukaa na watu tokea wakiwa wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…